Proverbs 11:3-5


3 aUadilifu wa wenye haki huwaongoza,
bali wasio waaminifu huharibiwa na hila yao.


4 bUtajiri haufaidi kitu katika siku ya ghadhabu,
bali haki huokoa kutoka mautini.


5 cHaki ya wasio na lawama, huwatengenezea njia iliyonyooka,
bali waovu huangushwa kwa uovu wao wenyewe.

Copyright information for SwhKC